Ligi ya Mabingwa Ulaya (Uefa Champions League) inataraji kuanzia kutimua vumbi leo kwa hatua ya 16 bora kwa michezo miwili kuchezwa.
Ratiba ya michezo hiyo ni kama ifuatavyo;
Benfica – Zenit St. Petersburg
Paris Saint German – Chelsea
Michezo yote itaanza saa 4:45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.