Wasanii kuanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Filamu nchini

sn1
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ndogo iliyoundwa kwa ajili ya kufuatilia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Filamu Tanzania wakiwa ndani ya kikao leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Kitengo cha Mawasiliano, WHUSM.

sn2
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha Kamati ndogo ya wasanii iliyoundwa kwa ajili ya kufuatilia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Filamu Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
sn3
Afisa Mtendaji Mkuu wa DIDAS Entertainment ambaye Bi. Khadija Seif (katikati) ambaye pia ndiye mratibu wa zoezi hilo kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu, akifafanua jambo wakati wa kikao cha Kamati ndogo ya wasanii iliyoundwa kwa ajili ya kufuatilia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Filamu Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
sn4
Msanii Single Mtambalike (Richie) akielezea jambo wakati wa kikao cha Kamati ndogo ya wasanii iliyoundwa kwa ajili ya kufuatilia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Filamu Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment