Nkupamah media:
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Bw. Reginald Mengi (kulia), wakati akisisitiza jambo katika mkutano na wadau wa Sekta Binafsi uliofanyika Wizarani hapo jijini Dar es Salaam.
Mdau wa sekta binafsi, Bw. Otieno Igogo (mwenye koti la mistari), akisisitiza jambo wakati wa Mkutano uliowakutanisha wadau wa sekta binafsi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza kwa makini Rais wa Wakala wa Forodha ya Tanzania (TAFFA), Bw. Steven Ngatunga wakati wa Mkutano wa Waziri huyo na Wadau wa sekta binafsi.
Wadau wa sekta binafsi wakijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa katika mkutano wao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mdau wa sekta binafsi Bw. Felix Mosha (wa kwanza kulia) akifafanua jambo katika mkutano wa wadau hao. (Kushoto) ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa na katikati niMwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Bw. Reginald Mengi.


0 comments :
Post a Comment