Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akisisitiza
jambo wakati wa maongezi na Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu
Youqing (wa pili kutoka kulia) alipomtembelea ofisini kwake mapema
leo.
Ujumbe kutoka ubalozi wa China
nchini ukimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala
Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (hayupo pichani) ulipotembelea ofisini
kwake mapema leo
Balozi wa China nchini Tanzania
Dkt. Lu Youqing (wa pili kutoka kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki
(Mb) (kulia) alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
Mwakilishi Mkazi Mwandamizi
kutoka Kitengo cha Uchumi na Biashara, Ubalozi wa China nchini Tanzania
Bw. Lin Zhiyong (wa pili kutoka kushoto) akizungumza baada ya kikao kati
ya Ujumbe kutoka ubalozi wa China nchini na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia)
kilichofanyika ofisi za Utumishi mapema leo.


0 comments :
Post a Comment