Mtendaji Mkuu wa kampuni inayotoa
huduma za simu Benoit Janin wa pili kutoka kushoto akiongea na
wanahabari hawapo pichani katika hafla ya kuwakabidhi msaada wa kompyuta
tatu kituo cha Mkubwa Fella. Wa pili kutoka kulia ni Mkurugenzi Idara
ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari. Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi.
Leah Kihimbi Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya
Sanaa Wizara ya Habari. Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Leah Kihimbi wa
pili kutoa kushoto akikabidhi msaada wa Kompyuta tatu kwa wawakilishi wa
Mkubwa Fella wa kwanza kulia ni Bw. Yusuph Chambuso.
Baadhi ya wasanii wa kikundi cha
Yamoto Bendi wakionyesha umahiri wao wa kuimba mbele ya wanahabari
wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta tatu kwa kikundi cha
Mkubwa Fella iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na
Benjamin Sawe).


0 comments :
Post a Comment