China yaonya Taiwan dhidi ya uhuru

  • Nkupamah media:
Image copyrightAP
Image captionChina yaonya Taiwan dhidi ya uhuru
Rais wa Uchina Xi Jinping ameonya kuwa kamwe hatairuhusu 'Jimbo la Taiwan' kuwa taifa huru.
Matamshi ya bwana Xi yamekuja miezi miwili baada ya kisiwa hicho kumchagua raisi mpya Tsai Ingwen.
Rais huyo mteule ataapishwa mwezi Mei mwaka huu.
Taiwan ilijitenga toka China mwaka wa 1949 baada ya kumalizika kwa vita vya wenyeye kwa wenyewe.
Image copyright
Image captionRais huyo mteule ataapishwa mwezi Mei mwaka huu.
Tangu hapo Taiwan inajitawala yenyewe lakini mataifa mengi hayajatambua utaifa wao.
Uchina imeionya Taiwan kwamba itatumia nguvu endapo itaendelea na harakati hizo za kujitangazia kuwa taifa huru.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment