Wakataa mali ya thamani kupewa kanisa Italia

  • Nkupamah media:
Image copyrightGetty
Image captionWakataa mali ya thamani kupewa kanisa Italia
Maandamano yamefanyika nje ya kanisa la Naples huko Italia kupinga agizo lililotolewa litakaloiwezesha kanisa katoliki nchini humo kupewa udhibiti wa shehena ya vyombo na vitu vya thamani ambavyo vimekuwa mikononi mwa baraza la mji kwa miaka mingi.
Image captionMaandamano yamefanyika nje ya kanisa la Naples huko Italia
Maelfu ya waandamanaji hao wamekuwa wakipeperusha vitambaa vyeupe wakisema .
''Usithubutu San Gennaro''--San Gennaro ndio jina la kiongozi wa kidini katika eneo hilo ambae alituzwa shehena hiyo yenye thamani kubwa.
Image copyrightGetty
Image captionBadhi yavyo ni vitambaa vya kichwa vya kidini vilivyonakshiwa almasi, ruby ,lozy
Miongoni mwavyo ni mikufu ya almasi, vitambaa vya kichwa vya kidini vilivyonakshiwa almasi, ruby ,lozy na vitu vyenginevyo vya thamani.
Waziri wa mambo ya nje wa Italia Angelino Alfano, amesisitiza shehena hiyo itaorodheshwa kama bidhaa za kidini wala sio mapambo ya sanaa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment