Katibu mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(mwenye
miwani) akiwa amebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu mkuu wa
zamani Wizara ya Habari Marehemu Frank P. Mwanjisi aliyefariki jijini
Dar es Salaam.Marehemu amesafirishwa leo kwenda mbeya kwa ajili ya
mazishi.
Mchungaji kutoka kanisa la KKKT
usharika wa kariakoo akiendesha misa ya kumuombea marehemu Frank
Mwanjisi ambaye aliwahi kushika wadhifa wa katibu mkuu katika wizara ya
Habari.
Picha na Daudi Manongi-WHUSM
Katibu mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akimpa pole
Elifasi Mwanjisi ambaye ni mdogo wa marehemu Frank Mwanjisi aliyekuwa
katibu mkuu wa zamani Wizara ya Habari leo jijini Dar es Salaam.
Katibu mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akitoa
heshima za mwisho kwa aliyekuwa katibu mkuu wa zamani wa wizara ya
Habari Marehemu Frank Mwanjisi aliyefariki jijini Dar es Salaam.
Mtoto wa marehemu ,Bw Charles
Mwanjisi(mwenye t-shirt nyeusi) akizungumza jambo na mkurugenzi
msaidizi-MAELEZO Bw.Raphael Hokororo wakati wa misa.


0 comments :
Post a Comment