Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa
kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wanatangaza
nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za afya zinazotolewa na vyuo
vilivyosajiliwa na NACTE na kutambuliwa na wizara.
Kufuatia
tangazo hili watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hii, watume maombi
yao ili wajiunge na kozi hizi ifikapo mwezi April 2016.


0 comments :
Post a Comment