Nkupamah media:
Pua ni moja ya organ muhimu. Je,ulishawai kufikiria jinsi gani utajisikia ukiwa na uwezo wa kuhisi kila harufu
Shindano la Pua kubwa zaidi Duniani
Watu wanashindana kwa vitu
vingi. Na shindano la mwenye Pua ndefu ni bomba la shindano lenye mvuto
wa aina yake duniani.Shindano hili lilipangwa Lafgenburk,nchini
Ujerumani. Ni desturi ya mda mrefu sasa,michuano hii ilianza karibu
miaka 50 iliyopita.Watu kutoka sehemu zote duniani huja katika mji huu
kushindana.
Hili uweze kushiriki au
kuwa mwanachama wa wenye Pua kubwa inakupasa uwe na pua isiyopungua
urefu wa milimeta 60.Iwe imeshiba nene kiasi cha milimeta 40. Mpaka sasa
chama chao kina watu zaidi ya 300.Kila baada ya miaka mitano wanafanya
shindano la kumpata aliowazidi wote.
Mehment Ozyurek(Mturuki) ni mtu mwenye pua ndefu kuliko wote duniani hadi sasa,ana pua yenye urefu wa 8.8cm
0 comments :
Post a Comment