Moto Wateketeza Mabweni Mawili katika Shule ya Sekondari ya Iyunga jijini Mbeya Mchana wa leo

Nkupamah media:


Mabweni mengine  mawili  ya  shule  ya  Sekondari  Iyunga  iliyoko  jijini  Mbeya  yameteketea  kwa  moto  mchana  huu.

Hii  ni mara ya pili sasa moto kuzuka katika shule hiyo .Wiki kadhaa zilizopita moto ulizuka na kuteketeza bweni moja la Mkwawa(‪Pichani‬) huku sababu zikielezwa ni hitilafu  ya  umeme  kutokana  na  uchakavu  wa  miundo  mbinu  shuleni  hapo.

Jeshi  la  Zimamoto  liko  eneo  la  tukio  kuukabili  moto  huo

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment