Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa Milamba kwenye
mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya
mpaka sasa.
Mkuu
wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda akizungumza na wakazi wa kijiji
cha Mulogo/ Mnazi Mmoja na kuwataka wanakijiji hao kushirikiana ili
kufanikisha maendeleo katika kijiji hicho.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wazee wa kijiji cha wa Milamba
mara baada ya kumaliza kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa
ya mambo ya kimaendeleo ambayo ameshaanza kuyafanyia kazi.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja ya wakazi wa
kijiji cha Malugo / Mnazi Mmoja ambao walichangia mbao 60 kila mmoja
kufanikisha ujenzi wa madawati.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wakazi wa kijiji cha Malugo/
Mnazi mmoja ambapo aliwataka wananchi hao kuendelea kushikamana ili
kufanikisha maendeleo zaidi katika jimbo hilo.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akiondoka kwenye eneo la mkutano huku
akiongozana na wenyeji wake mara baada ya kumaliza mkutano.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wakazi wa kijiji cha Nambahu.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akisisitiza jambo kwenye mkutano na wana kijiji
cha Nambahu.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wakazi wa kijiji cha Chiuta
ambapo alichukua nafasi hiyo kuwashukuru kwa kumchagua lakini pia alitoa
taarifa za kazi alizoanza kufanya katika kuhakikisha kijiji hicho
kinapata maendeleo ya haraka.
Wakazi
wa Chiuta jimbo la Mtama wakiangalia vitabu ambavyo walikabidhiwa na
Mbunge wao Mhe.Nape Nnauye kwa ajili ya Sekondari ya Chiuta.
Umati
wa wakazi wa Chiuta wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na kijana wa kijiji cha Chiuta mara
baada ya kumaliza kuongea na wakazi wa kijiji chicho.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na vijana wa kijiji cha Chiuta
jimbo la Mtama .
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akicheza pool table na vijana wa kijiji cha
Chiuta jimbo la Mtama

0 comments :
Post a Comment