PROIN PROMOTIONS LTD YAJIVUNIA KUTOA WASHINDI WAWILI WA TUNZO ZA AFRICA MAGIC 2016

Nkupamah media:

 Baadhi ya wadau na wapenzi wa filamu wakiwa uwanja wa ndege wakimsubiri kumpokea Mshindi wa Tunzo ya Filamu bora ya Kiswahili Single Mtambalike katika shindano la Africa Magic lililofanyika nchini Nigeria Mwishoni mwa wiki
wapenzi wakisubiri mshindi

Familia ya Single Mtambalike
akipokelewa na familia
Mwakilishi wa Proin Promotions.Josephat Lukaza akiongea na wanahabari kuhusiana na filamu za Proin kunyakua tunzo hizo katika Kinyangiro cha AMVCA2016.Picha Zote na Josephat Lukaza
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment