SHABIKI WA SOKA AMUUWA MWENZAKE KISA MESSI NA RONALDO

Nkupamah media:
Imekuwa kawaida kwa watu kubishana kuhusu wachezaji bora wa Dunia ambao wote wamewahi kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia Ballon d’Or kwa zaidi ya mara moja Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kuwa yupi ni bora zaidi ya mwenzie.
Hii mada ambayo mara nyingi haijawahi kupatiwa majibu yaani kwa upande fulani, kuridhika na kukiri kuwa fulani ni bora hususani kwa mashabiki wa pande zote mbili, stori kubwa March 7 iliyoingia kwenye headlines ni kuhusu kifo cha jamaa aliyekuwa anabishana kuhusu Ronaldo na Messi nani bora.
885-cristiano-ronaldo-fighting-with-lionel-messi

Obina Durumchukwu mwenye umri wa miaka 34 ameuawa na mnigeria mwenzake, Michael Chukwuma mwenye umri wa miaka 21 kwa kuchomwa na chupa iliyopasuka, kisa ni kubishana nae kuwa nani bora kati ya Messina Ronaldo. Mabishano hayo yalitokea Mumbai India wakiwa katika party.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment