Usiku wa Machi 5 ulikuwa wa furaha kwa watanzania baada ya kuwashuhudia wasanii wake wawili, Elizabeth Michael na Single Mtambalike kuibuka washindi wa tuzo bora kila mmoja na yake za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 “AMVC 2016” mbali na wasanii hao kuwakilisha vyema, Msanii Ali Kiba  kwa upande wake alipata kutumbuiza katika show hiyo ya kimataifa
Ali Kiba na Lulu
Ali Kiba akiwa na msanii wa kike wa filamu za Tanzania, Elizabeth Michael ‘Lulu’