- Nkupamah media:
Maelfu ya watu wamehudhuria mazishi ya kiongozi mashuhuri wa kisiasa Hassan AlTurab aliyefariki jumamosi akiwa na umri wa miaka themanini na nne.
Maafisa wakuu wa serikali walikua miongoni wa watu walio hudhuria mazishi hayo yaliofanyika mjini Khartuom.
Hassan AlTurabi alikua rafiki mkuu wa Raisi Omar albashir lakini baadaye alifungwa miaka mingi jela, baada ya wawili hao kuzozana.
Hassan AlTurabi alichangia pakubwa katika kuimarishwa kwa sera za maadili ya kiislamu nchni sudan.


0 comments :
Post a Comment