Meneja wa taasisi ya Bhubesi ya nchini Uingereza, (BPF), ambayo kwa sasa inaendesha mafunzo ya kuunyanyua mchezo wa Raga (Rugby), sambamba na kusaidia
jamii pamoja na maendeleo mashuleni na kwenye vituo vya kijamii, Mark
Cole, (kushoto), akinyunyuzia maji kwenye mti alioupanda kwenye shule ya
msingi Hananasif ya jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2016. BPF kwa
kushirikiana na kampuni ya ulinzi ya kimataifa ya G4S ya jijini Dar es
Salaam, wameendesha mafunzo hayo kwa muda wa siku tano kwa shule sita za
jijini na Jumamosi hii Machi 19, 2016 wanafunzi walioshiriki kwenye
mafunzo hayo watashindana katika bonanza kubwa litakalofanyika kwenye
viwanja vya shule ya msingi Mapambano, Sinza jijini. Anayeshuhudia
mwenye kapelo, ni Mkuu wa kitengo cha Mauzo na Masoko cha G4S, Alfred
Elia. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakiwa kwenye mafunzo ya mchezo wa raga, Machi 18, 2016

Mkufunzi
wa mchezo wa Raga kutoka BPF, Michael Lieberum, akizungumza na
wanafunzi hao mara baada ya kipindi cha mafunzo ya mchezo huo. Kulia ni
mwa,limu wa michezo, shule ya msingi Hananasif, Violet Ngoka
Mkufunzi wa mchezo wa Raga, Lieberum, akifurahia jambo na wanafunzi hao mara baada ya mafunzo
Alfred Elia, (kushoto) na Mark Cole, wakizungumza muda mfupi kabla ya upandaji mti kwenye shule ya msingi Hananasif
“Mambo poa”, ndivyo anavyoonekana kusema kwa ishara, Marck Cole
Wachezaji wa akiba wa mmchezo wa Raga wa shule ya msingi Hananasi, wakifuatilia wenzao waliokuwa mafunzoni
Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif, walioshiriki mafunzo hayo wakiwa wameshika mipira hiyo ya Raga
Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif, walioshiriki mafunzo hayo wakiwa wameshika mipira hiyo ya Raga
Mkuu wa kitengo cha mauzo na masoko, G4S, Alfred Elia, akipanda mti
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Hananasif, Idda Uisso, (katikati), akipeana mikono na Marck, huku Elia akishuhudia
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Hananasif, Idda Uisso, akipeana mikono na Elia, huku Marck akiwa pembeni yao
Wakufunzi
kutoka BPF, Walimu wa michezo wa shule ya msingi Hananasif, pamoja na
baadhi ya wanafunzi wao, wakiimba wakati wa zozi la upandaji miti

0 comments :
Post a Comment