Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi
Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya kumuombea dua Rais
wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyofanyika Jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akijumuika na Viongozi na wananchi katika Hitma ya
kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani
Karume iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar.
Baadhi
ya Wananchi wa Mjini na Mashamba waliojumika kwa pamoja katika Hitma
ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani
Karume iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar.
Baadhi
ya Viongozi na Wananchi kwa pamoja wakiwa katika Hitma ya kumuombea dua
Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
iliyofanyika Jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar.
Miongoni
mwa Akinamama wakimuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume wakati wa Hitma iliyosomwa Jana katika Osifi Kuu ya
CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Wananchi mbali mbali wa
dini tofauti.
Makamo
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan na
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwana Mwema Shein (katikati) Mama Fatma
Karume (wa pili kulia) pamoja na Wake wa Viongozi wakiwa katika Hitma ya
kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani
Karume iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar.
Wanafunzi
wa Madrasa kutoka Vyuo mbali mbali na wananchi waliohudhuria katika
Hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid
Amani Karume iliyofanyika Jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Rais
Mstaafu wa Zanzibar Mhe,Amani Abeid Karume,(wa pili kushoto) Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Ali Hassan Mwinyi(wa pili
kulia) Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania
Mhe.Mohammed Gharib Bilali(kulia)kwa pamoja wakiitikia dua iliyoombwa na
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheik Khamis Haji Khamis baada ya kumalizika
kisomo cha Hitma ya dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu
Mzee Abeid Amani Karume iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Sheikh
Hamid Masoud Jongo kutoka Jijini Dar es Salaam akitoa mawaidha baada ya
Hitma ya dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akiweka shada la mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar
Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo cha Hitma
na dua ya kumuombea, iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan,
akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe
Magufuli,kuweka Shada la mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo
cha Hitma na dua ya kumuombea, iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi
Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Balozi
Mdogo wa China Bwana Xie Yunliang akiwawakilisha Mabalozi wa Nchi mbali
mbali katika kuweka shada la mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo
cha Hitma na dua ya kumuombea, iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi
Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Mjukuu
wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, Ahmed
Amani Abeid Karume akichukua shada la mauwa kwaniaba ya wenzake kuliweka
katika kaburi baada ya kumalizika kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea
Marehemu Babu yao, iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein(kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Samia Suluhu Hassan, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli,(wa pili kulia) pamoja na Viongozi
mbali mbali wakiitikia dua iliyoombwa baada hitma na uwekaji wa mashada
ya mauwa leo katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume pembeni kwa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar alipozikwa.
Viongozi
mbali mbali wakiitikia dua iliyoombwa baada hitma na uwekaji wa mashada
ya mauwa jana katika kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume pembeni kwa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar alipozikwa.
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanawema Shein (kushoto) Mke wa Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume,Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar
Mama Shadya Karume,Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha
Suleiman Iddi pamoja wake wa Viongozi wakiitikia dua iliyoombwa baada
hitma na uwekaji wa mashada ya mauwa jana katika kaburi la Rais wa Kwanza
wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume pembeni kwa Ofisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipozikwa.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) akifuatana na wasaidizi wake akitoka eneo la kaburi la
Marehemu Mzee Abeid Amani Karume liliopo nje ya Jengo la Ofisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar baada ya kumalizika hafla ya dua na
uwekaji wa mashada ya mauwa iliyofanyika leo,na kuhudhuriwa na Viongozi
mbali mbali.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akiwapungia mkono viongozi na wananchi walihudhuria katika hitma
ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyofanyika jana baada ya kumalizika
katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar na uwekaji wa mashada
ya mauwa ambapo Viongozi na Wananchi mbali mbali walihudhuria
Wake
wa Viongozi wakiwa nje ya Ofisi Kuu wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
baada ya kumalizika kwa hitma ya kumuombea dua Rais wa kwaanza wa
Zanzibar Marehemu Mzee Abeeid Amani Karume iliyofanyika jana. [Picha na Ikulu.]





















0 comments :
Post a Comment