Msomaji wetu wa Mpembuzi online globu karibu kutazama dondoo za Magazeti yote ya leo kupitia SIMU TV ambayo tunakuletea kila siku (Bonyeza linki hapa chini).
SIMU.TV: Magufuli amkuna Kagame. Bajeti ya JPM mjadala mkali. Makanisa ya kilokole kuthibitiwa mtaani. CUF yapiga hodi kwa Majaliwa.https://youtu.be/wIghhLV9Yoo
SIMU.TV: Polisi anayemiliki nyumba 40 atumbuliwa. Fatma Karume amvuruga Dk.Shein. Vita thidi ya ufisadi yaiva. Mtoto wa rais matatani;https://youtu.be/ZTQ4IXUaYko
SIMU.TV: Lowassa amshukia Magufuli kwa mambo 5. CAG atoboa jinsi alivyokerwa na UDA. Mwanafunzi ajifungua akiwa shuleni ;https://youtu.be/dSP_8xnbJ2U