Jeshi la Polisi Mkoani Arusha Limemkamata Kijana Aliyemwita Rais Magufuli Bwege Kupitia Facebook....Toa Maoni yako


Jeshi la Polisi Mkoani Arusha, limemkamata Isaack Habakuk Emily, kwa kosa la kumtukana Rais John Magufuli kuwa ni 'Bwege' na kwamba hawezi kufananishwa na Nyerere na kusambaza ujumbe huo kwenye mitandao ya kijamii.
Nini maoni yako?
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment