Pichani ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha
Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa
amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili kijana
mmoja mwenye umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana) anayetuhumiwa
kumbaka bibi kizee huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo walipofanikiwa
kumkamata.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment