Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
kaikagua mashine ya MRI katika hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo
Kikuu cha Dodoma wakati alipoitembela Aprili 9, 2016. Wapili kushoto ni
Naibu Waziri wa Afya, , Dkt. Hamis Kigangwala. (Picha na Ofisi ya Wziri
Mkuu.)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Khamis Kigangwala wakikagua mashine ya Mobile
Digital xray wakati walipotembelea hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye
Chuo Kikuu cha Dodoma Aprili 9, 2016. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Hospitali
hiyo Profesa Gesai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 comments :
Post a Comment