Ligi
Kuu ya Vodacoma inataraji kuendelea wikiendi hii kwa michezo minne,
ambapo kwa leo Jumamosi inataraji kupigwa michezo mitatu na kesho
Jumapili utachezwa mchezo mmoja.
Ratiba ya leo Jumamosi;
Yanga vs Mtibwa
Ndanda FC vs Kagera
Coastal Union vs JKT Ruvu
Na mchezo wa kesho Jumapili ni;
Toto Africans vs Simba
0 comments :
Post a Comment