Leo
mchana imefanyika droo ya kupanga ratiba ya michezo ya nusu fainali ya
Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champion League), ambapo Manchester City
imepangwa kupambana na Real Madrid huku Atletico Mardid ikipangwa
kupambana na Bayern Munich.
Michezo ya nusu fainali itachezwa kati ya Aprili 26 na 27 na michezo ya marudiano itachezwa kati ya Mei, 3 na 4.
Mchezo
wa fainali wa mashindano hayo makubwa barani Ulaya inataraji kupigwa
Jumamosi ya Mei 28 katika dimba la San Siro lililopo Milan, Italia.
0 comments :
Post a Comment