Rais
wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (mwenye kofia
nyeusi) akishuka katika ndege ya Shirika la Kenya mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa
ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja, 15 Aprili, 2016 Jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga (kushoto) akisalimiana na Rais
wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (mwenye fimbo) mara
baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
K. Nyerere kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja, 15 Aprili, 2016
Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (mwenye fimbo)
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dkt.
Richard Sezibera (wa pili kushoto) mara baada ya kuwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya ziara ya
kikazi ya siku moja, 15 Aprili, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (kulia)
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda mara baada
ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K.
Nyerere kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja, 15 Aprili, 2016
Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (wa tatu kulia)
akisalimiana na Kamanda Mkuu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
Kamishna Simon Siro mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya ziara ya kikazi ya
siku moja, 15 Aprili, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (mwenye fimbo)
akisalimiana na baadhi ya viongozi waliokuja kumpokea mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K.
Nyerere kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja, 15 Aprili, 2016
Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (mwenye fimbo)
akipita katikati ya gwaride la Jeshi mara baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya
ziara ya kikazi ya siku moja, 15 Aprili, 2016 Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
0 comments :
Post a Comment