TANZANIA YACHUKUA HATUA DHIDI YA ASKARI WAKE DRC


Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Balozi Tuvako Manongi,amesema suala hilo 
limemsikitisha Rais na Mkuu wa majeshi na kwamba wameshachukua hatua ikiwemo kuwazui wanajeshi hao wanaotuhumiwa kuto kutoka katika kambi walizopo nchini humo. Aidhaa Balozi Manongi amesema kuwa hakutakuwa na hatua ya kurejeshwa kwa kikosi kizima nyumbani kufuatia tuhuma hizo kwa sababu ya wanajeshi wachache ambao wanatuhumiwa kufanya Unyanyasi huo. Tuhuma hizo zinawakabili askari 11 wa Tanzania wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokarsia ya Congo DRC.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment