Meya Wa Jiji La Dar (CHADEMA) Agoma Kuhamia Kwenye Nyumba Ya Serikali.

MEYA WA DAR ATOA KALI YA MWAKA



Meya Mpya wa jiji la Dar es salaam Mhe.Charles Mwita (CHADEMA)ametoa kali ya mwaka na kuwashangaza watu baada ya kugoma kuhamia kwenye nyumba ya serikali ambayo ni maalumu kwa ajili ya Meya na kudai kuwa ataendelea kubakia kwenye makazi yake yaliyopo huko Vijibweni, Kigamboni.

Hata hivyo Meya huyo hakuweza kubainisha sababu yeyote muhimu iliyomfanya kuikataa nyumba hiyo aliyopewa na Serikali na kusisitiza aachwe abaki kwake Vijibweni.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment