Basi la mwendo kasi ( DART) limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo
Ajali hiyo imetoke tarehe 19/05/2016 katika eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.
Pikipiki iliyohusika kwenye ajali hiyo
==
Blogger Comment
Facebook Comment