Jamie Vardy atajwa na FWA kuwa Mchezaji Bora wa Msimu 2015/2016

Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy ametajwa na Chama cha Waandishi wa Habari cha Uingereza (FWA) kuwa mchezaji bora wa msimu wa 2015/2016.
Akimtaja Jamie Vardy kuwa mshindi wa tuzo hiyo, Mwenyekiri wa FWA, Andy Dunn amesema kumekuwepo na wachezaji wengi ambao wamekuwa bora kwa msimu huu lakini Jamie Vardy amekuwa bora zaidi.
“Ni uamuzi wa waliohusika kuchagua, kulikuwa na wachezaji wengi wa Leicester ambao walitajwa na wenzetu lakini Jamie Vardy kaacha historia, ni kweli ametajwa na waandishi wengi,” alisema Dunn.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment