SIMU.TV: Mhe.Dt. Mary Nagu aililia seriakli juu ya upungufu wa watumishi wa afya pamoja na vifaa tiba katika wilaya ya Hanang;https://youtu.be/8ZQT49yw0FA
SIMU.TV:
Mbunge wa Korogwe mjini Mhe.Chatanda aihoji serikali juu ya kuunganisha
mji wa Korogwe na viunga vyake katika gridi ya taifa; https://youtu.be/z2OyEg4tUEI
SIMU.TV: Mhe.Makilagi aibana wizara ya fedha juu ya ucheleweshaji wa fedha za miradi ya maendeleo kutotolewa kwa wakati kwa wananchi; https://youtu.be/tQ1WcogiiaA
SIMU.TV:
Mh. Jafo akijibu swali la Mbunge wa viti maalum Mhe.Kemilembe kuhusiana
na ununuzi wa vifaa tiba katika hospitali ya Sekouture; https://youtu.be/5l2Ap4eA-_0
SIMU.TV: Mh.Marwa mbunge wa Serengeti asimamia kidete ujenzi wa miundombinu katika hifadhi ya mbuga ya Serengeti;https://youtu.be/PkDZYsnM3dU
SIMU.TV: Mhe. Masala aitaka serikali kueleza hatma ya tafiti za madini zinazofanywa na makampuni tofautitofauti wilayani Nachingwea;https://youtu.be/dMMtGhHpCvM
SIMU.TV: Mh.Ester Matiko aitaka serikali kutoa maelezo ya kina juu ya wananchi wa kata za Tarime ambao hawakulipwa fidia za ardhi yao; https://youtu.be/edcSd-IKYZE
SIMU.TV: Suala la wananchi wanaougua ugonjwa wa saratani kuchelewa kupatiwa huduma katika hospitali ya Ocean Road laibuliwa bungeni; https://youtu.be/SlOr_OkfX3E
0 comments :
Post a Comment