Mchezaji wa Azam Farid Musa Aliyoko Spain Kwa Majaribio Awakosha wa Spain...Tazama Picha Hapa



Kinda wa Azam FC Farid Musa anaendelea kufanya vizuri kwenye majaribio nchini Hispania akiwa na Club Deportivo Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza ‘Segunda Division’.

Yusuf Bahkhesa ambaye ameambata na Farid Musa nchini humo ametoa updates za hapa na pale kuhusu yote yanayomuhusu Farid katika majaribio yake.

Kwa mujibu wa Yusuf Bahkhesa, Farid ameshafanyiwa vipimo vya afya baada ya kuwavutia viongozi wa benchi la ufundi la Tenerife linaloongonzwa na kocha mkuu wa timu hiyo  Jose Luis Mart.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment