Washiriki
wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijuzi wenye umri chini
ya miaka 20 kutoka Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
mashindano hayo kufunga rasmi juzi jijini Dar es Salaam. Picha na Frank Shija,WHUSM
Naibu
Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James
Wambura akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Mchezo wa Riadha Afrika
Mashariki Mhandisi Sadick Ibrahim (katikati) juzi jijini Dar es Salaam
wakati wa ufungaji wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa
Vijuzi wenye umri chini ya miaka 20 juzi jijini Dar es Salaam.Kushoto ni
Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James
Wambura akiwapungia mkono washiriki wa mashindano ya Riadha Afrika ya
Mashariki kwa Vijuzi wenye umri chini ya miaka 20 alipokuwa mgeni rasmi
wakati wa ufungaji wa mashindano hayo juzi jijini Dar es Salaam.Kulia ni
Rais wa Shirikisho la Mchezo wa Riadha Afrika Mashariki Mhandisi Sadick
Ibrahim na kushoto ni Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT)
William Kallaghe.
Naibu
Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James
Wambura akisalimiana na Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT)
William Kallaghe juzi jijini Dar es Salaam wakati wa ufungaji wa
mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijuzi wenye umri chini ya
miaka 20.Katikati ni Katibu wa Naibu Waziri Bibi. Anna Nkinda.
Makamu wa
Raisi wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Bw. William Kallaghe akisoma
taarifa fupi juu ya mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijuzi
wenye umri chini ya miaka 20 mbele ya Naibu Waziriwa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura(kulia mwenye miwani) juzi
jijini Dar es Salaam.(P.T)
Baadhi ya
washiriki wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijuzi wenye
umri chini ya miaka 20 kutoka nchi mbalimbali wakipita mbele ya Naibu
Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James
Wambura(hayupo pichani) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufungaji
wa mashindano hayo juzi jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James
Wambura (wapili kushoto) akiimba wimbo wa Taifa la Tanzania wakati hafla
ya ufungaji wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijuzi
wenye umri chini ya miaka 20 juzi jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto
ni Makamu wa Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Makamu wa Rais wa
Chama cha Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe,Raisi wa Shirikisho la
Mchezo wa Riadha Afrika Mashariki Mhandisi Sadick Ibrahim na Mkurugenzi
Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo upande wa Miundombinu Alex Nkenyenge.
Washiriki
wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijuzi wenye umri chini
ya miaka 20 kutoka nchi mbalimbali wakiimba wimbo wa Taifa la Tanzania
wakati wa hafla ya ufungaji wa mashindano hayo juzi jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James
Wambura akimpongeza mmoja wa washiriki kutoka Tanzania ambao wamekuwa
washindi wa kwanza kwa wanawake mbio za relay mita mia nne mara nne
alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufungaji wa mashindano ya Riadha
Afrika ya Mashariki kwa Vijuzi wenye umri chini ya miaka 20 juzi jijini
Dar es Salaam.
Naibu
Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James
Wambura akimvalisha medali mmoja wa washiriki kutoka Kenya ambao
wamekuwa washindi wa kwanza kwa wanaume mbio za relay mita mia nne mara
nne alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufungaji wa mashindano ya
Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijuzi wenye umri chini ya miaka 20 juzi
jijini Dar es Salaam.
Mshindi
wa kwanza wa mbio za mita 200 katika mashindano ya Afrika Mashariki kwa
Vijuzi wenye umri chini ya miaka 20 Bw. Ally Khamis Ibrahim kutoka
Zanzibar ( katikati) na akiwa katika jukwaa moja na washindi wa pili na
watatu ambao wate wanatokea nchini Kenya.Mshindi wa kwanza wa mbio za
mita 200 katika mashindano ya Afrika Mashariki kwa Vijuzi wenye umri
chini ya miaka 20 Bw. Ally Khamis Ibrahim kutoka Zanzibar ( katikati) na
akiwa katika jukwaa moja na washindi wa pili na watatu ambao wate
wanatokea nchini Kenya.


0 comments :
Post a Comment