Ukifanya muamala wowote wa kutoa pesa benki kuna makato mfano kwa CRDB
ni 2,200. Maana ya hii kodi ni kuwa sasa utakatwa TZS 2,596. Vile vile
ukifanya malipo kwa njia ya TISS makato yalikuwa ni TZS 10,000; kwa sasa
utakatwa TZS 11,800.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Blogger Comment
Facebook Comment