SIMU.TV: Mhe. Amina  Molel ahoji juu ya mpango wa serikali kwa watu wenye ulemavu waishio vijijini ambao mara zote wanasahaulika katika mijadala; https://youtu.be/4Y2MF5mTyic
SIMU.TV: Sikiliza kauli ya serikali juu ya fedha za ununuzi wa chakula kwa shule za bweni Hanang  ambazo hazionekani kwenye akaunti yoyote ya benki; https://youtu.be/A83vTtM8KGM
SIMU.TV:  Mhe.Dkt.Mary Nagu aitaka serikali kushirikiana na wananchi na kuongeza nguvu katika kuboresha miundombinu ya shule kongwe nchini; https://youtu.be/F4xRUxEOcY4
SIMU.TV: Mhe.Bupe Mwakangata aitaka serikali kuchukulia hatua halmashauri zitakazoshindwa kutekeleza mipango ya fedha zinazotengwa kwaajili ya vijana na wanawake; https://youtu.be/vCPjV7_30vU
SIMU.TV: Hivi ndivyo suala la ujenzi wa nyasi bandia katika uwanja wa Nyagana mkoani Mwanza lilivyopokelewa bungeni;https://youtu.be/O24prBC3tu8
SIMU.TV: Mhe. Hafidhi Ali aihoji serikali juu ya utekelezaji wa Goal Project za viwanja zinazotolewa na FIFA kwa nchi wanachama wa shirikisho hilo; https://youtu.be/VNYgXsmZdlY
SIMU.TV: Eng. Ngonyani atoa tathmini juu ya upelekaji wa minara ya mawasiliano ya simu katika jimbo la Kalenga;https://youtu.be/hKsh-Caz-lk
SIMU.TV: Haya hapa majibu ya serikali juu ya utoaji wa usafiri wa dharura wa majini kwa wananchi ili kupukana na vimbunga vya kila siku; https://youtu.be/D9TwCPDHYPA
SIMU.TV: Je serikali ina mpango gani wa kutokomeza tatizo la fistula linalowakumba hasa wanawake wa vijijini? Mhe. Ummy Mwalimu ajibu; https://youtu.be/HU7u-seSUjM