Kama utakuwa umetembelea mitandao mbalimbali ya kijamii kuanzia usiku wa Alhamisi imesambaa video ambayo inaonesha Jeshi la Polisi likimshikilia mwanamuziki wa kike nchini, Ray C kwa kile kinachoelezwa kuwa anataka kujiua.
Mo Blog imekuwekea video hiyo hapa chini na taarifa zaidi zinaendelea kutafutwa ili kufahamu ni kipi hasa kilichopelekea mpaka mwanamuziki huyo kuwa katika hali hiyo na hata kufikia hatua ya kutaka kujiua.