Mshambualiaji
mpya wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic kwa mara ya kwanza
ameungana na wachezaji wenzake wa klabu hiyo ya Uingereza na kufanya
mazoezi kwa pamoja.
Ibrahimovic amejiunga na Manchester United akitokea PSG ya Ufaransa baada ya mkataba na timu hiyo kumalizika.
Blogger Comment
Facebook Comment