MSIKILIZE HAPA MAMA DIAMOND AKIFUNGUKA KUHUSU MWANAE KUTOMTUNZA BABA YAKE

Image result for DIAMOND NA MAMA YAKE
Mama yake mzazi na Staa Diamond Platnumz amefunguka na kuzungumza kinachomkera kwenye mitandao kuhusiana na Diamond Platnumz.
Mama huyo kuyaongea >>>Sio kwenye magazeti tu hata kwenye instagram kuhusu Diamond amjali Baba yake hawa watu wanaoandika hivyo wananikera sana ninaumia kwani Diamond kila mwezi anapeleka hela ya matumizi kwa Baba yake sasa sijui hayo maneno yanatoka wapi’


‘Mimi na Baba Diamond tunaongea muda mrefu hata ukisema nimpige utamsikia akiongea lakini nashangaa kutwa watu wanasema Naseeb hatoi huduma kwa Baba yake ni habari si za kweli, sasa hivi anakaa Kagera Dar es Salaam na siku hizi mbili nitaenda tena kumpelekea Chakula na nitaipost ili waone’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Mama Diamond akifunguka kinachomkera kwenye mitandao kuhusu Diamond


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment