Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa akiwa katika moja ya Mabanda wakati
alipotembelea maonesho ya Kilimo ya Nanenane mkoani Morogoro,
kuangalia, kusikiliza na kushauriana na Wakulima mbalimbali juu ya
maswala kilimo.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa akiwa katika Banda la Mfuko wa
Wastaafu wa GEPF, wakati alipotembelea maonesho ya Kilimo ya Nanenane
mkoani Morogoro leo.




0 comments :
Post a Comment