Mmoja
wa abiria akipanda ndani ya Behewa Dar es Salaam jana akielekea Kigoma
kwa kutumia usafiri wa haraka (EXPRESS), ambaye alifahamika kwa jina la
Fatuma Kininga, aliushukuru uongozi mzima wa Shirika la Reli Tanzania,
kwa maamuzi yao ya kuanzisha usafiri huo, ambapo ni mkombozi kwao,
aliendelea kusema kubwa hasa linalo wasumbua ni upatikanaji wa Tiketi ni
mgumu kiasi ambacho kina wagharimu sana, alisema, anawaomba wanao
tumia usafiri huo kuwaomba kuzidi kutunza mazingira bila shuruti kwa
kushirikiana na wafanya kazi kuona ni mali yake, kuto kanyaga viti, kula
vitu na kutupa ndani ya mabehewa hayo, kuweka sheria kali na kuendelea
kupewa elimu kila mara kwa abiria wanao tumia usafiri huo na kila mmoja
kuwelimisha mwenzake na kuwa mlinzi kwa mwenzake, hayo aliyasema jana
wakati alipokuwa ndani ya behewa Dar es Salaama jana. (PICHA ZOTE NA
KAHMISI MUSSA)
Abiria wakiwa ndani ya Behewa tayari kuelekea Bara


0 comments :
Post a Comment