VIdeo-:kauli ya Mh Tundu Lissu Jana baada ya kutoka Mahakamani


August 02 2016 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam imetangaza tarehe 28 August 2016 kuwa ndio siku itakayoanza kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu baada ya kupata maelezo ya tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Rais John Pombe Magufuli.

Akisomewa maelezo ya awali na Hakimu wa mahakama hiyo Yohana Yongolo Inadaiwa June 28 2016 Tundu Lissu alitoa maneno ya uchochezi nje ya mahakama ya Kisutu.
Baada ya kusomewa maelezo Tundu Lissu, nje ya mahakama aliongea na waandishi wa habari kama ifuatavyo:-
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment