VIDEO: Mbatia aizungumzia kauli ya Spika kuhusu maridhiano baina ya UKAWA na naibu Spika



Jana August 21 2016 kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa na kituo cha television cha Azam Tv, mbunge wa Vunjo na mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia aliizungumzia kauli iliyotolewa na Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano kuwa anakusudia kutafuta maridhiano baina ya wabunge wanaounda umoja wa katiba, UKAWA na naibu Spika.

Mbatia alisema, Kauli ya Spika Ndugai ni kauli yenye kuleta matumaini kwa sababu wao ndani ya wabunge wa upinzani walichokuwa wanataka ni  maridhiano....

Msikilize hapo chini akiongea
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment