Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhamed Shein mapema leo amefanya ziara ya kuona utendaji wa kazi za kituo cha radio cha Taifa cha ZBC ili kupata maelezo yautendaji kazi.
SHEINRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhamed Shein akipata maelezo yautendaji kazi, kwa msaidizi Mkuu wa utangazaji ZBC Radio Salum Othman Said alipofanya ziara kuona utendaji kazi zao. 
dsc_0401Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhamed Shein akizungumza na watangazaji wa ZBC Radio katika Studio za Shrika hilo Raha leo mjini Zanzibar.
dsc_0432Mtangazaji wa ZBC Radio Fatma Said akifanya mahojiano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Muhamed Shein katika Studio za ZBC ambapo Dkt. Shein amefanya ziara katika Shirika hilo. ZBCRais wa Zanzibar Dkt. Ali Muhamed Shein (katikati) katika picha ya pamoja na Watangazaji wa ZBC Radio.
Picha na Yusuf Simai /Maelezo Zanzibar