Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia
hali Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel
Sitta anayeendelea kupata matibabu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza
kushoto ni Mke wa Mzee Sitta, Mama Margaret Sitta.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samuel Sitta mara baada ya kumjulia hali jijini Dar es Salaam.
Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta
akiongoza Sala mara baada ya kujuliwa hali na Rais Dkt. John Pombe
Magufuli.kushoto ni Mke wa Mzee Sitta, Mama Margaret Sitta.
PICHA NA IKULU


0 comments :
Post a Comment