Staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz ameachia nyimbo ambayo amemshirikisha msanii mwenzake ambaye yupo katika lebo yake ya WCB Wasafi, Rayvanny ambayo ameipa jina la Salome. Nyimbo hiyo mpya imetengenezwa katika studio ya WCB Studio na proucer, Leizer Classic, isikilize hapa.