Barcelona Yaifumua Man City Nne Mtungi


Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa October 19 2016 kwa michezo nane tena kuchezwa kama iliyochezwa usiku wa October 18, mchezo wa Man City dhidi ya FC Barcelona katika dimba la Nou Camp ulikuwa ndio mchezo ulioteteka hisia za mashabiki wengi.
3986d1d300000578-3852820-image-a-60_1476907202301
Mvuto wa mchezo huo ambao ulimalizika kwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara 5 Lionel Messi kufunga hat-trick, ulikuwa unazikutanisha FC Barcelona dhidi ya kocha wao wa zamani Pep Guardiola mbaye kwa sasa ndio anaifundisha Man City.
3986d7ad00000578-3852820-image-a-61_1476907442689
Mchezo ulimalizika kwa FC Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 4-0, licha ya kuwa mashabiki wengi wa soka walitarajia kuona Man City ikiisumbua FC Barcelona kutokana na Pep Guardiola kuwafahamu, kitu ambacho hakikuisaidia Man City, magoli ya FC Barcelona yalifungwa na Lionel Messi dakika ya 17, 61, 69 na Neymar dakika ya 89 baada ya kukosa penati dakika ya 87.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment