Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu Makao Makuu Dodoma kuripoti
Oktoba 1, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Jenista Mhagama , Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Anthony Mavunde na wapili kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera na Uratibu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na viongozi wakuu wa Ofisi yake baada ya kuwasili Ofisini
kwake mjini Dodoma Oktoba 1, 2016. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu, Kazi na Ajira, Erick Shitindi, Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu, Uledi Mussa, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na
Uratibu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitia saini Kitabu cha wageni baada ya kuripoti Ofisini kwake mjini
Dodoma Oktoba 1, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Ajira, Erick Shitindi, Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na
Uratibu , Dkt. Hamisi Mwinyimvua na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Makao Makuu, Dodoma
baada ya kuwasili Ofisini hapo Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Makao Makuu, Dodoma
baada ya kuwasili Ofisini hapo Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao Ofisini kwake, Makuu Dodoma Oktoba 1, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Makao Makuu, Dodoma
baada ya kuwasili Ofisini hapo Oktoba 1, 2016. Wengine pichani kutoka
kushoto ni, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Ajira, Eick
Shitindi, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu, Dkt.
Hamisi Mwinyimvua, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa ,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Antony Mavunde. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)


0 comments :
Post a Comment