CHUO Kikuu
cha Waislamu cha Morogoro (MUM)kimesherehekea miaka kumi (10) tangu
kuanzishwa kwake mwaka 2005 - 2015, maadhimisho hayo yameenda sambamba
na mahafari ya Nane ya chuo hicho,(2008 - 2015).
Msafara wa wahadhiri wa Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) walipo wasili katika viwanja vya
chuo hicho kwaajili ya Sherehe ya kuadhimisha miaka kumi ya chuo hicho
pamoja na Mahafari ya wahitimu wa Kozi mbalimbali katika chuo hicho,
mahafari yaliyofanyika Morogoro mwishoni mwa wiki Novemba 14,2015.
Wageni wakiwasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM).
Mkuu wa kitengo cha masomo ya uandishi wa habari katika Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM), Salim Said Ali (aliyesimama)
akiwakaribisha wageni katika Mahafari yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) Novemba 14,2015.
Mkuu wa chuo hicho Hajjat Mwantum Mlale akiwa katika Mahafari ya nane ya Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) ambaye pia ndiye aliyokuwa
akiwatunuku katika mahari hayo wanafunzi waliofuzu kozi mbalimbali
katika chuo hicho.
Mahafari hayo yalifunguliwa kwa Swala ambapo pichani ni baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho wakifungua kwa swala.
Baadhi
ya wanafunzi waliofunzu masomo yao na waliohudhuriwa katika mahafari ya
Nane ya chuo cha Kiislam cha Morogoro, (MUM) Novemba 14, 2015.
Baadhi ya wazazi na walezi waliohudhuria katika mahafari ya nane ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) Mkoani Morogoro Novemba 14,2015.
Wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) akivaa Kofia mara baada ya
kutunukiwa kufunzu masomo yao katika mahafari ya nane ya chuo hicho
yaliyofanyika chuoni hapo Novemba 14,2015.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) waliopata zawadi baada ya kufauru
kwa kiwango cha First Class katika masomo yao katika mahafari
yaliyofanyika chuoni hapo Novemba 14,2015.
Wageni pamoja na wahadhiri wa Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) wakiwa katika picha ya pamoja
mara baada ya mafari ya nane ya chuo hicho kumalizika Novemba 14,2015.
Wahadhiri wa Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) wakiwa katika picha ya pamoja na
wanafunzi wa chuo hicho katika mahafari ya nane kumalizika yalifanyika
chuoni hapo mkoani morogoro Novemba 14,2015..
Watalamu wa masuala ya Kompyuta wakiwa katika picha ya pamoja katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM).
Majengo ya mabweni ya wasichana na wafulana yaliyopo katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM)
Jengo la masomo ya Sayansi katika chuo cha Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM).
Ukumbi wa mikutano kwa nje katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM).
Ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kwa ndani.
Kituo cha redio pamoja na madarasa ya wanafunzi wanaosoma masomo ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM).
Mwandishi na mwalimu wa somo la redio akitoa maelekezo mara baada ya kutembelewa katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM).
Jengo la uongozi katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM)
CHUO
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM)kimesherehekea miaka kumi (10)
tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005, (2005 - 2015). Maadhimisho hayo
yameenda sambamba na mahafari ya Nane kati ya (2008 - 2015).
Mahafali
hayo yalihudhuriwa na Mgeni rasmi, Profesa Dkt. Fadzil Adam,
Mkurugenzi wa Chuo cha Kiislam cha Morogoro na mtafiti wa chuo kikuu
cha Zanzibar (SZA),wa Nchini Malaysia Kuala Teregganu.
Pamoja na kusherekea miaka kumi ya chuo hicho pamoja na mahafari ya nane ya chuo hicho yalihudhuliwa na Mkuu wa chuo hicho Hajjat Mwantum Mlale, Mkuu
wa chuo kikuu ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza chuo kikuu cha
Kiislam cha Morogoro (MUM), Profesa Hamza Mustafa Njozi, pamoja na
Mwenyekiti Baraza la chuo hicho Profesa Bakari Lembariti.
Mahafari yalifanyika katika chuo kikuu cha Kiislam cha Morogoro (MUM) mwishoni mwa wiki Novemba 14 mwaka huu.
0 comments :
Post a Comment