Nakusogezea Picha 10: Hali ilivyo uwanja wa Taifa katika mageti ya kuingilia Uwanja Wa Taifa Yanga vs Simba

October 1 2016 ni siku ambayo mashabiki wa soka Tanzania watapa nafasi ya kuangalia mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba, huu ni mchezo wa kwanza  wa round ya Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017, changamoto ya mfumo wa electronics tiketi ulisababisha mashabiki kukanyagana.
dsc_0020
dsc_0025
dsc_0035
dsc_0040
dsc_0072
dsc_0099
dsc_0104
dsc_0105
dsc_0112
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment