TAZAMA VIDEO: Vitu vilivyofanya mahakama ya Kisutu izuie mkutano wa Yanga Jumapili




Najua shabiki wa soka la Tanzania kwa sasa unashauku ya kutaka kujua nini kitaamuliwa Jumapili ya October 23 2016 katika mkutano mkuu wa dharura wa Yanga, taarifa ikufikie kuwa baadhi ya wanachama wa Yanga wakiongozwa na mwanasheria wa zamani wa klabu hiyo Frank Chacha wamefungua kesi mahakama ya Kisutu.
Kwenye maombi yetu haya ya dharura katika kesi tuliyoifungua leo mahakama ya Kisutu moja ni kuzuia mkutano mkuu wa dharura utakaofanyika Jumapili ya tarehe 23 2016, la pili ni kuzuia utekelezaji wa mkataba kati ya kampuni ya Yanga Yetu na bodi ya wadhamini”
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment