
Baada ya
Chama cha Mapinduzi kuthibitisha kupokea taarifa kutoka kwa aliyewahi
kuwa Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia NCCR-Mageuzi na baadaye kujiunga na
Chama cha ACT Wazalendo, Moses Machali kuunga mkono utendaji wa Rais
Magufuli na kutangaza nia ya kujiunga na CCM, imempata msemaji wa ACT Wazalendo Abdallah Hamis ambaye ametoa majibu ya chama hicho.millardayo.com
“Tumesoma
maandika ya Machali kama wengine walivyosoma na tumejitahidi kumpigia
simu ili tupate uhakika wa taarifa hizo lakini amekuwa mzito kupokea
Simu zetu lakini kikubwa kama ameamua kuondoka sisi tunahesimu uamuzi
wake” – Afisa Habari ACT Wazalendo


0 comments :
Post a Comment